title : MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA
kiungo : MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondia Georger Dimoso kushoto na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Mabondia Georger Dimoso kushoto akitambiana na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwatambulisha mbele ya wahandishi wa habari mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kumaliza kupima uzito katikati ni Promota Rajabu Mhamila 'Super D baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Promota wa mpambano wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondia Frank John kushoto na Bakari Mbede baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya jymamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Bondia Frank John kushoto akitunishiana misuli na Bakari Mbede wakati wa kupima uzito kwa mabondia hawo watazipiga siku ya jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondiaImani Mapambano kushoto na Paul Kamata baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Mabondia Imani Mapambano kushoto akitambiana na Paul Kamata baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA
yaani makala yote MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mabondia-wapima-uzito-kupigana-kesho.html
0 Response to "MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA KESHO SEPTEMBA 15 UWANJA WA NDANI WATAIFA"
Post a Comment