title : Shule 10 za Mwisho matokeo ya kidato cha sita
kiungo : Shule 10 za Mwisho matokeo ya kidato cha sita
Shule 10 za Mwisho matokeo ya kidato cha sita
Ni kilio na kicheko. Hivyo ndivyo tutakavyoweza kusema, kwani matokeo ya kidato cha sita, yaliyotangazwa leo Jumamosi, Julai 15 yamezitaja shule kumi zilizofanya vibaya na kushika mkia kitaifa.
Shule hizo ni Kiembesamaki Unguja, Hagafilo (Njombe), Chasasa (Pemba), Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na Ben Bella (Unguja).
Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni Meta (Mbeya), Mlima Mbeya(Mbeya)
Nyingine ni Shule ya Sekondari ya Al-Ihsan Girls (Unguja na St Vicent(Tabora).
Hivyo makala Shule 10 za Mwisho matokeo ya kidato cha sita
yaani makala yote Shule 10 za Mwisho matokeo ya kidato cha sita Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shule 10 za Mwisho matokeo ya kidato cha sita mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/shule-10-za-mwisho-matokeo-ya-kidato.html
0 Response to "Shule 10 za Mwisho matokeo ya kidato cha sita"
Post a Comment