Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6

Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6
kiungo : Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6

soma pia


Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6

Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2017 yametoka leo Jumamosi, Julai 15 huku shule ya Wasichana ya Feza Girls ikiibuka kinara kwa watahiniwa wake 67 kufaulu kwa kupata daraja la kwanza na la pili.

Shule nyingine zilizoibuka kidedea katika matokeo hayo ni Marian Boys, iliyoshika nafasi ya pili, Kisimiri (Arusha) imeshika nafasi ya tatu na Ahmes (Pwani) imeshika nafasi ya nne.

 Shule nyingine  ni  Marian  Girls (Pwani) iliyoshika nafasi ya tano, Mzumbe (Morogoro) nafasi ya sita, St Marry Mazinde Juu (Tanga) nafasi ya saba, Tabora Boys (Tabora) nafasi ya nane, Feza BOYS (Dar es Salaam) nafasi ya tisa na Kibaha ya Pwani iliyoshika namba kumi.


Hivyo makala Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6

yaani makala yote Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/shule-10-bora-matokeo-kidato-cha-6.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Shule 10 Bora Matokeo Kidato cha 6"

Post a Comment