Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone

Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone
kiungo : Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone

soma pia


Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone

Wachezaji wa kikosi cha kombaini ya Wilaya ya Mjini

Na: Said Salim “Hazard” kutoka Mbulu, Manyara.

Wawakilishi wa wawili wa Zanzibar katika Mashindano ya vijana ya Afrika Mashariki na kati ya Rolling Stone timu ya Mjini Unguja na JKU Academy watacheza hatua ya robo fainali leo mkoa wa Manyara na Arusha ambapo michezo yote minne ya hatua hiyo itapigwa saa 10:00 za jioni.

Kituo cha Mbulu Mkoani Manyara katika uwanja wa Julias Nyerere kutapigwa mchezo kati ya mabingwa watetezi Wilaya ya Mjini ya Zanzibar dhidi ya Lindi academy kutoka Lindi.

Na huko katika kituo cha Babati mkoani Manyara kutapigwa mchezo mmoja katika uwanja wa Babati kati ya Singi Academy dhidi ya Fire boys kutoka Karatu.

Na katika Mkoa wa Arusha kutapigwa robo fainal katika vituo viwili tofauti katika kiwanja cha Sheikh Amry Abeid mjini humo kutapigwa mchezo mmoja kati ya JKU academy kutoka Zanzibar dhidi ya Arusha central vijana kutoka hapo hapo Arusha.

Na huko katika kituo cha Mererani kutakua na mchezo mwengine wa robo fainali kati ya Saint Patrick dhidi ya Middle age.


Hivyo makala Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone

yaani makala yote Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mjini-unguja-na-jku-academy-watinga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mjini Unguja na JKU Academy watinga robo fainali mashindano ya Rolling Stone"

Post a Comment