RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS

RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS
kiungo : RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS

soma pia


RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS

Shirika la ndege la RwandAir linataraji kuanzisha safari zake za kuelekea mji wa Brussels nchini Belgium kupitia Mjini Kigali nchini Rwanda kutokea Jijini Dar es salaam.

akizungumzia kuanza kwa safari hizo, Meneja mkazi wa Shirika hilo, Ibrahim Bukenya amesema kuwa safari hizo zitaanza rasmi tarehe 14 Julai 2017 na zitakuwa ni safari za mara tatu kwa wiki na baadae kuwa kila siku. 

Bukenya amesema Shirika hilo liko kwenye hatua za mwisho kuweka Hub nyingine ya kibiashara kwenye mji wa Cotonou nchini Benin. Pia shirika hilo liko kwenye hatua za mwisho za kuanzisha safari zake mpya za kuelekea  mji wa Guangzhou nchini China.
Wakati huo huo shirika ndege la RwandAir kwa hapa Tanzania liko kwenye hatua za mwisho za kuanzisha malipo ya ununuzi wa tiketi kwa kutumia mitandao ya simu. 

Bukenya aliendelea kuwashukuru wateja wote na wadau wao na kwa kuwakumbusha kuwa safari zake kutokea Dar kuelekea Kigali na kuunganisha sehemu nyinginezo kuwa mara mbili kila siku, na kutokea Kilimanjaro kwenda Kigali na kuunganisha sehemu zingine ikiwa ni mara tano kwa wiki, hivyo kila atakaye kusafiri asafiri na Shirika ndege la RwandAir.


Hivyo makala RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS

yaani makala yote RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rwandair-kuanza-kutua-brussels.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RWANDAIR KUANZA KUTUA BRUSSELS"

Post a Comment