Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo.

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo.
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo.

soma pia


Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika Ndege ya Serikali leo mara ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum  na kupokelewa na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aki​salimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali ailipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudhi wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali  mara ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum

​Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aki​salimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein waki​salimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakati wa mapokezi yao leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum.
[Picha na Ikulu.] 25/07/2017


Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-wa-zanzibar-dk-shein-awasili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk. Shein Awasili Zanzibar Akitokea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Nchini Humo."

Post a Comment