title : Rais wa Zanzibar Dk Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum
kiungo : Rais wa Zanzibar Dk Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum
Rais wa Zanzibar Dk Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi pamoja Viongozi mbali mbali alipokuwa akiondoka chini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud alipokuwa akiondoka chini leo akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali alipokuwa akiondoka nchini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili,[Picha na Ikulu.] 06/07/2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-wa-zanzibar-dk-shein-aelekea.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk Shein Aelekea Nchini Uingereza Kwa Ziara Maalum"
Post a Comment