Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF

Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF
kiungo : Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF

soma pia


Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF

Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi, CUF linaloongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba limewavua uanachama wabunge nane wa chama hicho kwa madai ya utovu wa nidhamu, yakiwemo kukisaliti chama hicho.
Mwenyekiti huyo wa CUF, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, amesema, baraza pia limewavua uanachama madiwani wawili wa viti maalumu mkoani Dar es Salaam kwa makosa kama hayo.
 Profesa Lipumba ametangaza uamuzi huo leo wakati wa mkutano na wanahabari uliofanyika makao makuu ya CUF, Buguruni, Dar es Salaam. Amesema wabunge hao nane ni kati ya 10 walioitwa hivi karibuni na Kamati ya Maadili na Nidhamu kwa mahojiano wakitakiwa kujibu tuhuma zinazowakabili za kukihujumu chama hicho kwa maelezo kuwa walitaka kushirikiana na CHADEMA kumwondoa yeye madarakani


Hivyo makala Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF

yaani makala yote Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/profesa-lipumba-awatimua-wabunge-nane.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Profesa Lipumba awatimua wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili wa CUF"

Post a Comment