Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf

Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf
kiungo : Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf

soma pia


Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf

Image result for picha za lipumba cuf

Mwenyekiti wa (CUF)Profesa Lipumba amefunguka na kusema kuwa Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad ana kesi ya kujibu na kudai yeye kawaponza wabunge nane waliovuliwa uanachama wa CUF

Profesa Lipumba amesema hayo leo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari na kusema Katibu Mkuu wa (CUF)  Mhe. Maalim Seif na yeye anayake ya kujibu mbele za Kamati ya Maadili na Nidhamu ya CUF.


"Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na kuna wananchama wengine wengi tu ambao pia wana makosa ya kuweza kujibu mbele ya Kamati ya Nidhamu na Maadili katika watu wote hao Katibu Mkuu yumo na yeye ndiye amewaponza hawa wabunge nane wa Viti Maalum ambao wamevuliwa uanachama na ndugu zangu wa Zanzibar na wale wabunge wengine wale msiwe mnasikiliza na kufuata kila anachosema Katibu Mkuu atakuponza kama alivyowaponza wajumbe wa baraza la wawakilishi" alisema Lipumba

Kwa upande wa Katibu Mkuu wa CUF Taifa  Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema mpaka sasa wabunge wote nane ambao wanasemakama wamefukuzwa uanachama wameamua kufungua kesi Mahakama Kuu kupinga maamuzi feki ambayo yamefanywa na Baraza Kuu feki na kuitaka Mahakama itamke kuwa wao ni wanachama halali wa CUF na wabunge halali wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Lakini pia Katibu Mkuu amesema kuwa Baraza Kuu halali la CUF litakutana kwa dharura siku ya kesho Ijumaa tarehe 28/07/2017 kujadili mambo mbalimbali ambayo yanaendelea katika chama hicho na kutangaza hatua ambazo zitafuata.


Hivyo makala Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf

yaani makala yote Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/prof-lipumba-amvaa-maalim-seifamlaumu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Prof Lipumba Amvaa Maalim Seif.....Amlaumu na kusema kuwa Yeye Ndo chanzo cha kutimuliwa kwa wabunge 8 wa cuf"

Post a Comment