title : Ofisi za kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star TV na Radio Free Africa (RFA) leo zimefungwa na TRA
kiungo : Ofisi za kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star TV na Radio Free Africa (RFA) leo zimefungwa na TRA
Ofisi za kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star TV na Radio Free Africa (RFA) leo zimefungwa na TRA
Ofisi za Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki kituo cha televisheni cha Star na cha redio cha Radio Free Africa (RFA) zimefungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa deni la Sh4.5 bilioni.
Ofisi hizo zimefungwa leo Alhamisi (Julai 13) na wakala wa TRA, Kampuni ya Sukah Auction Mart and Court Brokers ya jijini Mwanza.
Meneja utumishi na utawala wa Sahara Media Group, Raphael Shilatu amesema ni kweli wana malimbikizo ya madeni yanayotokana na kuhama kutoka mfumo wa analogia kwenda digitali.
Hivyo makala Ofisi za kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star TV na Radio Free Africa (RFA) leo zimefungwa na TRA
yaani makala yote Ofisi za kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star TV na Radio Free Africa (RFA) leo zimefungwa na TRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ofisi za kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star TV na Radio Free Africa (RFA) leo zimefungwa na TRA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/ofisi-za-kampuni-ya-sahara-media-group.html
0 Response to "Ofisi za kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki vituo vya Star TV na Radio Free Africa (RFA) leo zimefungwa na TRA"
Post a Comment