title : Nini maana ya usiwekeze Gari eneo hili?
kiungo : Nini maana ya usiwekeze Gari eneo hili?
Nini maana ya usiwekeze Gari eneo hili?
Ukitaka kujua sisi ni watu wa aina gani hata kama huwa tnapenda kujifurahisha na kujifaharisha sifa tusio nazo, picha hii ni kielelezo tosha.
Tunaishi huku tukijichangaya mno; matendo yetu na kauli zetu kamwe hazirandani; kufuata maelekezo kwetu haram kama si makruh. Soma hicho kibao kwenye mti wa hii picha
Hivyo makala Nini maana ya usiwekeze Gari eneo hili?
yaani makala yote Nini maana ya usiwekeze Gari eneo hili? Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Nini maana ya usiwekeze Gari eneo hili? mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/nini-maana-ya-usiwekeze-gari-eneo-hili.html
0 Response to "Nini maana ya usiwekeze Gari eneo hili?"
Post a Comment