title : MBUNGE MTEULE VITI MAALUM CUF, BI HINDU MWENDA AZIKWA
kiungo : MBUNGE MTEULE VITI MAALUM CUF, BI HINDU MWENDA AZIKWA
MBUNGE MTEULE VITI MAALUM CUF, BI HINDU MWENDA AZIKWA
Mwili wa marehemu Mbunge Mteule Viti Maalum Cuf, Hindu Mwenda, aliyefariki nyumbani kwake Kibada Kigamboni ukiwasili makaburi ya Kisutu Dar leo.
Maziko yakiendelea.
Sheikh (kulia) akifanya maombi baada mazishi.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) akiwa katika mazishi hayo.
…Akiongea na wanahabari baada ya maziko.
HATIMAYE Mbunge Mteule Viti Maalum Cuf, Hindu Mwenda, aliyefariki usiku wa kuamkia jana nyumbani kwake Kibada Kigamboni amezikwa leo makaburi ya Kisutu Dar na mamia ya wafuasi wa chama chake na wananchi wengine wa Dar es Salaam.
Sheikh aliyeongoza mazishi hayo aliwahimiza wanachama wa Cuf kuendeleza upendo na kufanya kazi kwa ushirikiano ambapo miongoni mwao ni mwenyekiti wa chama hicho anayetembuliwa na Msajili wa Vyama, Profesa Ibrahim Lipumba.
Lipumba alimsifia marehemu akisema alikuwa anajituma katika kazi zake na alikuwa mwanachama shupavu na alikuwa mfano kwa wanachama wengine wanaokipenda chama hicho.
Hivyo makala MBUNGE MTEULE VITI MAALUM CUF, BI HINDU MWENDA AZIKWA
yaani makala yote MBUNGE MTEULE VITI MAALUM CUF, BI HINDU MWENDA AZIKWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE MTEULE VITI MAALUM CUF, BI HINDU MWENDA AZIKWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mbunge-mteule-viti-maalum-cuf-bi-hindu.html
0 Response to "MBUNGE MTEULE VITI MAALUM CUF, BI HINDU MWENDA AZIKWA"
Post a Comment