title : NAIBU WAZIRI TAMISEMI SELEMANI JAFFO AKABIDHI HUNDI YA MILIONI 70 KWA VIJANA NA WANAWAKE, AIPONGEZA MANISPAA YA DODOMA
kiungo : NAIBU WAZIRI TAMISEMI SELEMANI JAFFO AKABIDHI HUNDI YA MILIONI 70 KWA VIJANA NA WANAWAKE, AIPONGEZA MANISPAA YA DODOMA
NAIBU WAZIRI TAMISEMI SELEMANI JAFFO AKABIDHI HUNDI YA MILIONI 70 KWA VIJANA NA WANAWAKE, AIPONGEZA MANISPAA YA DODOMA
Naibu waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jaffo akikabidhi mfani wa Hundi ya shilingi milioni 70 kwa wawakilishi wa vikundi vya wanawake na vijana (kulia na kushoto) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya fedha hizo zilizotolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kwa ajili ya vikundi hivyo leo katika ukumbi wa Manispaa hiyo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi (kushoto) akitoa taarifa ya utangulizi kabla Naibu waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jaffo hajakabidhi mfani wa Hundi ya shilingi milioni 70 kwa wawakilishi wa vikundi vya wanawake na vijana wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya fedha hizo zilizotolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kwa ajili ya vikundi hivyo leo katika ukumbi wa Manispaa hiyo.
Naibu waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jaffo akizungumza kabla ya kukabidhi mfani wa Hundi ya shilingi milioni 70 kwa wawakilishi wa vikundi vya wanawake na vijana wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya fedha hizo zilizotolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kwa ajili ya vikundi hivyo leo katika ukumbi wa Manispaa hiyo. PICHA NA RAMADHANI JUMA, OFISI YA MKURUGENZI.
…………………..
Na RamadhaniJuma,
OfisiyaMkurugenziwaManispaa
NAIBU WaziriOfisiyaRais TAMISEMI SelemaniJaffoameipongezaHalmashauriyaManispaaya Dodoma kwakutekeleza Sera namaelekezoyaSerikalikwavitendoikiwanipamojanakuhakikishakuwa, asilimia 10 yafedhazinazotokananamapatoyandanizinatengwanakutumikakwaajiliyakuwawezeshaWanawakenaVijana.
NaibuWaziriJaffoametoapongezihizowakatiakikabidhimfanowahundiyashilingimilioni 70 zilizotolewanaManispaahiyokwaajilivikundivyaVijananaWanawakekatikahaflafupiyamakabidhianaoiliyofanyikaleokatikaukumbiwaManispaaya Dodoma.
AlisemaHalmashauriyaManispaaya Dodoma imeoneshamfanokwavitendonakwambaHalmashaurizinginezijifunzenakuiga, ambapoamedaihayonimatokeoyaushirikianomzuriwakaziuliopokatiyaMadiwani, Mkurugenzi, WakuuwaIdaranaWatumishi wote.
Akizungumzawakatiwahaflahiyo, MkurugenziwaHalmashauriyaManispaaya Dodoma Godwin Kunambialisemafedhahizozinatarajiwakuvinufaishavikundi 66, vikiwemo 18 vyavijanana 48 vyawanawake.
Alisema, HalmashaurihiyoimekuwaakitumiafedhazaMapatoyandanikwakuzingatiamaelekezoyaSerikaliambapopamojanakutoaasilimia 10 kwaajiliyavijananawanawake, piaasilimia 30 inaelekezwakatikakatikamiradiyaMaendeleoambapompakasasa Kata 25 zimepatiwasehemuyafedhakwaajilimiradiyamaendeleo.
Aidha, KunambialisemakwasasaHalmashaurihiyoinaanzakusajilivikundivyawalemavuambavyokwamujibuwa Sera naMaelekezoyaSerikalivinatakiwakupatiwaasilimiambiliyaMakusanyoyafedhazinatokananavyanzovyandani.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI TAMISEMI SELEMANI JAFFO AKABIDHI HUNDI YA MILIONI 70 KWA VIJANA NA WANAWAKE, AIPONGEZA MANISPAA YA DODOMA
yaani makala yote NAIBU WAZIRI TAMISEMI SELEMANI JAFFO AKABIDHI HUNDI YA MILIONI 70 KWA VIJANA NA WANAWAKE, AIPONGEZA MANISPAA YA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI TAMISEMI SELEMANI JAFFO AKABIDHI HUNDI YA MILIONI 70 KWA VIJANA NA WANAWAKE, AIPONGEZA MANISPAA YA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/naibu-waziri-tamisemi-selemani-jaffo.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI TAMISEMI SELEMANI JAFFO AKABIDHI HUNDI YA MILIONI 70 KWA VIJANA NA WANAWAKE, AIPONGEZA MANISPAA YA DODOMA"
Post a Comment