KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL

KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL
kiungo : KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL

soma pia


KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL


Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kupokea Mifuko 90 ya Nilu kutoka kiwanda cha Tanzania Oxygen Limited ambapo Nilu hiyo itatumika kwa ajili ya kupaka katika shule mbalimbali zinazojengwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akipokea viroba vya Nilu ambavyo vitatumika kupaka shule zilizopo katika Manispaa ya Ilala.
Karani kutoka kampuni ya Tanzania Oxygen Limited (TOL),Dorothy Katala akimuonesha Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto, Idadi ya Viroba vya Nilu anavyotakiwa kuchukua .
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto, akisimamia upakiaji wa Viroba vya Nilu kwenye gari hili iweze kufika panapo husika.


Hivyo makala KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL

yaani makala yote KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/kumbilamoto-apokea-mifuko-90-ya-viroba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUMBILAMOTO APOKEA MIFUKO 90 YA VIROBA VYA NILU KUTOKA TOL"

Post a Comment