title : MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
kiungo : MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwenye viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga akifurahia jambo na Varerian Mablanketi Mkurugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF kulia katikati ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe na kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa mfuko huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda hilo kutoka kulia ni Rehema Mkamba Afisa Mawasiliano Mwandamizi LAPF na wa pili ni Varerian Mablanketi Mkrugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea banda hilo.
Baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo wakiendelea kupata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa mfuko huo.
Hivyo makala MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mkurugenzi-mkuu-wa-mfuko-wa-pensheni.html
0 Response to "MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment