title : Mjasiriamali Magdalena Uronu aonyesha ubunifu wake katika Maonyesho ya Sabasaba
kiungo : Mjasiriamali Magdalena Uronu aonyesha ubunifu wake katika Maonyesho ya Sabasaba
Mjasiriamali Magdalena Uronu aonyesha ubunifu wake katika Maonyesho ya Sabasaba
Muhitimu wa shahada ya computer science, Magdalena Uronu akionyesha bidhaa zake anazotengeneza yeye katika Maonyesho ya 41 ya biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Magdalena anayejulikana kama mkurugenzi wa Megy Precious watengenezaji wa bidhaa zenye asili na utamaduni wa kiafrika kama mikoba Viatu bangili na heleni amasema ameamua kujiajiri baada ya kuona kuna fursa ya kufanya hivyo na siyo kutegemea ajira tu. Amesema biashara hiyo aliyoianza muda mfupi baada ya kupata stashahada yake imemuwezesha kuajiri vijana watatu wa kumsaidia katika shughuli hio.
Hivyo makala Mjasiriamali Magdalena Uronu aonyesha ubunifu wake katika Maonyesho ya Sabasaba
yaani makala yote Mjasiriamali Magdalena Uronu aonyesha ubunifu wake katika Maonyesho ya Sabasaba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mjasiriamali Magdalena Uronu aonyesha ubunifu wake katika Maonyesho ya Sabasaba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mjasiriamali-magdalena-uronu-aonyesha.html
0 Response to "Mjasiriamali Magdalena Uronu aonyesha ubunifu wake katika Maonyesho ya Sabasaba"
Post a Comment