title : DK. MNDOLWA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA MKOA WA SINGIDA
kiungo : DK. MNDOLWA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA MKOA WA SINGIDA
DK. MNDOLWA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA MKOA WA SINGIDA
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Edmund Mndolwa akipata maelezo kuhusu eneo lenye madini la Jumuiya hiyo lililopo katika Kijiji cha Bigigi, alipokagua eneo hilo akiwa katika ziara ya kikazo mkoani Singida, jana. Anayempa maelezo ni Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Singida Mjini Ali Balo (Wapili kushoto) na kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kati Sosthenes Masola. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa NEC- CCM Christina Joramu na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa upande wa Zanzibar Haidar Haji abdallah. Dk. Mndolwa ameagiza uongozi wa Jumuiya ya Wazazi mkoani Singida kuharakisha kulitafutia leseni na kuliwekea vigingi vya mipaka eneo hilo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimia baadhi ya viongozi wa Jumuiya hiyo baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Singida, kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, jana.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Singida Mashigani Kija akisoma taarifa ya jumuiya hiyo mbele ya Dk. Mndolwa
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Edmund Mndolwa akipata maelezo kuhusu eneo lenye madini la Jumuiya hiyo lililopo katika Kijiji cha Bigigi, alipokagua eneo hilo akiwa katika ziara ya kikazo mkoani Singida, jana. Anayempa maelezo ni Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Singida Mjini Ali Balo.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Hivyo makala DK. MNDOLWA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA MKOA WA SINGIDA
yaani makala yote DK. MNDOLWA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA MKOA WA SINGIDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK. MNDOLWA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA MKOA WA SINGIDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/dk-mndolwa-amaliza-ziara-yake-katika.html
0 Response to "DK. MNDOLWA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA MKOA WA SINGIDA"
Post a Comment