Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton

Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton
kiungo : Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton

soma pia


Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton





Habari na Picha na Richard Mwaikenda
Akizungumza wakati wa mkutano huo, Tarimba alisema kuwa ziara ya Everton nchini imekuwa ni ya mafanikio makubwa kimichezo, kiuchumi, kijamii na hasa kuutangaza vilivyo utalii wa Tanzania Duniani.
Tarimba hakusita pia kuishukuru Ikulu kwa kuwapa sapoti kubwa kufanikisha ziara ya Everton hasa katika masuala ya kumpata mgeni rasmi, Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na kuruhusu vyombo vya dola kwa ajili ya usalama wa timu hiyo.
"Kwa niaba ya SportPesa ambao ndiyo wadhamini wakuu wa timu hiyo, tutakuwa wachoyo wa fadhila kama tutashindwa kuwashukuru wadau wote ambao kwa namna moja ama nyingine walituunga mkono katika kuhakikisha kuwa maandalizi ya ziara hii yanafanikiwa." Alisema Tarimba na kuongeza kuwa...
Napenda Kumshukuru Rais John Magufuli kwa kutoa baraka zake, lakini pia nipende kumshukuru Makamu wake Samia Suluhu Hassan kwa moyo wake wa utayari wa kuwapokea wageni wetu ."
Alimshukuru pia Waziri wa Habari, Utamadjuni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kwa niaba ya wizara hiyo kwa kuwa bega kwabega katika jukumu hilo hizo. Pia hakusita kutoa pole kwa waziri huyo kwa kufiwa na mkewe.

Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni ya Sportpesa, Tarimba Abbas akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, ambapo alitoa shukrani kwa wanahabari, vyombo vya dola, serikali na watanzania kwa kufanikisha ziara ya timu ya Everton ya Uingereza hapa nchini.




Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni ya Sportpesa, Tarimba Abbas akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, ambapo alitoa shukrani kwa wanahabari, vyombo vya dola, serikali na watanzania kwa kufanikisha ziara ya timu ya Everton ya Uingereza hapa nchini.


Hivyo makala Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton

yaani makala yote Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/michezo-sportpesa-yatoa-shukrani-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Michezo : SportPesa Yatoa Shukrani kwa Wanahabari , Serikali , Vyombo vya Dola na Wananchi kwa Kufanikisha ziara ya Everton"

Post a Comment