title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 60 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 5, 2017.
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 60 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 5, 2017.
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 60 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 5, 2017.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akisoma maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2017 katika kikao sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Viongozi na wachezaji wa timu ya Singida United wakiwa wakifuatilia mijadala ya bunge katika kikao cha sitini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 5, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 60 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 5, 2017.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 60 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 5, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 60 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 5, 2017. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_5.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 60 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 5, 2017."
Post a Comment