MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI

MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI
kiungo : MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI

soma pia


MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI


MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema miongoni mwa Makampuni Binafsi yanayoisaidia Serikali kwa kufanya kazi ya uuzaji na upimaji wa Viwanja vya Viwanda na Makazi, ni Kampuni ya Property International pekee ambayo mpaka sasa kama mkuu wa mkoa bado hajapata malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu migogolo ya ardhi.

Akizungumza katika Kipindi cha Sema Kweli kinachorushwa kila Ijumaa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, alisema kuwa, amekuwa akipata malalamiko kadhaa kutoka kwa wananchi juu ya migogolo hiyo inayotokana na kuuziwa ama kupimiwa viwanja na makampuni ambayo hayajajitosheleza katika kufanya kazi hiyo baada ya kuidhinishwa na Serikali.

Aidha alisema kuwa kutokana na suala hilo kumekuwa na ugumu wa Serikali kukusanya mapato 'Kodi ya majengo' kutokana na wananchi kujijengea makazi holela bila kupata vibali vya ujenzi, baada ya kuuziana maeneo kienyeji bila kupimwa na kupatiwa hati, jambo ambalo kwa sasa linafanyiwa kazi kwa kasi na baadhi ya makampuni binafsi ikiwamo ya Property International, yanayoshirikiana na Selikali katika kifanya kazi hiyo.

Makonda alimpongeza Waziri William Lukuvi, kwa kazi ngumu anayofanya ikiwa ni pamoja na ya ulasimishaji wa makazi ili kwenda na viwango vinavyotakiwa kwa ajili ya kuzitambua nyumba na kuzipa madaraja tofauti kurahisisha upatikanaji wa kodi ya majengo, na mpangilio wa miji unaotakiwa huku Serikali ikiendelea kuwakaribisha wapimaji biasfi ili kuendana na kasi.

''Wapimaji binafsi watasaidia kupunguza tatizo la upungufu wa Watumishi na Vifaa vya kisasa vinavyorahisisha upimaji wa haraka na kwa wakati, lakini Manispaa zinatakiwa kuwapa ushirikiano makampuni hayo kwa kuwapa na kuwatambua ili Serikali inapotoa Hati isitokee mgongano kutokana na maeneo husika kupimwa na watu watatu tofauti''. alisema.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA




Hivyo makala MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI

yaani makala yote MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/makonda-kampuni-ya-property_23.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKONDA: KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL INASAIDIA KUONDOA TATIZO LA MIGOGOLO YA ARDHI"

Post a Comment