BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)

BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)
kiungo : BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)

soma pia


BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Afrika ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Spika huyo wa Guine-Bissau alitembelea Mhe Ndugai kwa lengo la kumpa mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union). Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa N’ZI Koffi.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) kutoka kwa  Rais wa Umoja huo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam anayeshuhudia kushoto  ni Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa.  N’ZI Koffi.

  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimueleza jambo na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam mara baada ya kupokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kujiunga na Umoja huo.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama (kushoto) na  Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa.  N’ZI Koffi (kulia).
 Rais wa Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama (kushoto) akimkabidhi zawadi  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kulia) mara baada ya mazungumzo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Bunge


Hivyo makala BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)

yaani makala yote BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/bunge-la-tanzania-lapokea-mwaliko-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BUNGE LA TANZANIA LAPOKEA MWALIKO WA KUJIUNGA NA UMOJA WA MABUNGE YA AFRIKA (AFRICA PARLIAMENTARY UNION)"

Post a Comment