title : MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA YANAWEZA KUEPUKIKA KWA KULA VYAKULA VYA ASILI PAMOJA NA KUFANYA MAZOEZI
kiungo : MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA YANAWEZA KUEPUKIKA KWA KULA VYAKULA VYA ASILI PAMOJA NA KUFANYA MAZOEZI
MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA YANAWEZA KUEPUKIKA KWA KULA VYAKULA VYA ASILI PAMOJA NA KUFANYA MAZOEZI
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Magonjwa yasiyoambukizwa yanaweza kuepukika kwa kutumia vyakula vya asili pamoja na kufanya mazoezi ambapo hakuna gharama inaweza kufanya mtu kuchangia. Magonjwa hayo ambayo ni Kisukari, shinikizo la Damu, pamoja na Unene wa kupindukia.
Hayo aliyasema Mwenyekiti wa Kikundi cha Mtambani kilichopo Mlandizi wilayani Kibaha, mkoani Pwani, Mohamed Pongwe wakati akizungumza na Michuzi Blog, amesema kuwa magonjwa yasiyombukizwa yanaweza kuepukika kwa kula vyakula visivyo na mafuta pamoja na kufanya mazoezi katika mazingira wanayoishi.
Hayo aliyasema Mwenyekiti wa Kikundi cha Mtambani kilichopo Mlandizi wilayani Kibaha, mkoani Pwani, Mohamed Pongwe wakati akizungumza na Michuzi Blog, amesema kuwa magonjwa yasiyombukizwa yanaweza kuepukika kwa kula vyakula visivyo na mafuta pamoja na kufanya mazoezi katika mazingira wanayoishi.
Amesema walipata elimu baada ya Shirika la Help Age International kupitia mradi wa Afya kwa Rika Zote ambapo waliweza kuanza ufugaji wa kuku pamoja na kilimo cha mboga mboga.
Pongwe amesema kuwa wanafanya kilimo cha mboga mboga na ufugaji wa kuku ambapo wanauza na fedha zinazopatika zinaingia katika kikundi pamoja na wao wenyewe kula mboga mboga na mayai na nyama za kuku hali ambayo imeweza kuboresha afya zao.
Aidha amesema katika miradi hiyo wameza kupata laki tano ambapo uzalishaji unaendelea katika maeneo yote ikiwa ni pamoja na kubadilika kiuchumi katika kikundi.
Mwenyekiti wa Kikundi Cha Mtambani, Mohaamed Pongwe akizungumza katika sehemu wanayofanya kilimo cha mboga mboga.
Mwanakikundi, Mwajuma Fanuel akizungumza na katika sehemu ya kilimo cha mbogamboga .
Baadhi ya wanakikundi wakiweka mbolea ya kinyesi cha kuku katika shamba la mbogamboga.
Wanakikundi wa Mtambani Mlandizi wakiwa katika picha ya pamoja
Hivyo makala MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA YANAWEZA KUEPUKIKA KWA KULA VYAKULA VYA ASILI PAMOJA NA KUFANYA MAZOEZI
yaani makala yote MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA YANAWEZA KUEPUKIKA KWA KULA VYAKULA VYA ASILI PAMOJA NA KUFANYA MAZOEZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA YANAWEZA KUEPUKIKA KWA KULA VYAKULA VYA ASILI PAMOJA NA KUFANYA MAZOEZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/magonjwa-yasiyoambukizwa-yanaweza.html
0 Response to "MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA YANAWEZA KUEPUKIKA KWA KULA VYAKULA VYA ASILI PAMOJA NA KUFANYA MAZOEZI"
Post a Comment