title : mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba
kiungo : mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba
mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba
MRATIBU wa mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Safia Saleh Sultan, akielezea lengo la mafunzo hayo, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba, yaliofanyika ofisi ya ZLSC mjini Chakechake
MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed, akielezea kazi na mikakati ya kituo, kwenye mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba, kwenye mafunzo yalifanyika Kituoni kwao Chakechake
Katibu tawala wilaya ya Chakechake, Sheha Mpate Mtumwa, akifungua mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba, kwenye mafunzo hayo yaliofanyika Kituoni kwao Chakechake
MTOA mada ya Ugatuzi wa madaraka Said Makame Said, akielezea maana ya ugatuzi, kwa madiwani na msheha wa Mkoa wa kusini Pemba, kwenye mafunzo hayo yaliotayarisha na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika osifini kwao mjini Chakechake Pemba
AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Khalfan Amour Mohamed, akigusia kipengele cha mamlaka ya masheha kisheria, kwenye mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba, yaliofanyika Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC mjini Chakechake
MASHEHA na Madiwani wa mkoa wa kusini Pemba, wakifuatilia mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwenye mafunzo yaliotayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika ofisini kwao mjini Chakechake. (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Hivyo makala mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba
yaani makala yote mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mafunzo-ya-kutambulisha-kazi-za.html
0 Response to "mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba"
Post a Comment