title : KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ALIPOTEMBELEA MAONYESHO SABASABA
kiungo : KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ALIPOTEMBELEA MAONYESHO SABASABA
KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ALIPOTEMBELEA MAONYESHO SABASABA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi wa akifurahia jambo na baadhi ya Wakurugenzi na waoneshaji nje ya banda la Wizara ya Maliasili naUtalii mara baada ya kutembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salam( Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi wa akizungumza jana na baadhi ya Wakurugenzi na waoneshaji nje ya banda la Wizara ya Maliasili naUtalii mara baada ya kutembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salam( Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi wa akizungumza jana na Baadhi ya Wakurugenzi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili naUtalii mara baada ya kutembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salam( Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii).
Hivyo makala KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ALIPOTEMBELEA MAONYESHO SABASABA
yaani makala yote KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ALIPOTEMBELEA MAONYESHO SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ALIPOTEMBELEA MAONYESHO SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/katibu-mkuu-wa-wizara-ya-maliasili-na.html
0 Response to "KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ALIPOTEMBELEA MAONYESHO SABASABA"
Post a Comment