title : KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL YACHUKUA USHINDI WA JUMLA KWA MAKAMPUNI YA UJENZI KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA
kiungo : KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL YACHUKUA USHINDI WA JUMLA KWA MAKAMPUNI YA UJENZI KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA
KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL YACHUKUA USHINDI WA JUMLA KWA MAKAMPUNI YA UJENZI KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi ngao ya ushindi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem ya jijini Dar es salaam kama ishara ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE) kutambua ushindi wa kampuni hiyo kwa makampuni ya wajenzi na wauzaji wa vifaa vya ujenzi katika maonyesho ya biashara yanayoendelea kwa siku 14 kwenye Viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Kulia wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya (TANTRADE) Bw. Christopher Chiza na Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji, Mh.Charles Mwijage
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimnshuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem ya jijini Dar es salaam wakati akimshukuru Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji, Mh.Charles Mwijage baada ya kupokea ngao ua ushindi wa jumla kwa makampuni ya ujenzi na vifaa vya ujenzi katika maonyesho ya biashara yanayoendelea kwa siku 14 kwenye Viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Kulia wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya (TANTRADE) Bw. Christopher Chiza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimshuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem ya jijini Dar es salaam wakati akishuka jukwaani mara baada ya kupokea ngao ya ushindi wa jumla kwa makampuni ya ujenzi na vifaa vya ujenzi katika maonyesho ya biashara yanayoendelea kwa siku 14 kwenye Viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, kutoka Kulia wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ( TanTrade), EdwinRutageruka na Mwenyekiti wa Bodi ya (TANTRADE) Bw. Christopher Chiza. Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji, Mh.Charles Mwijage
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem kushoto na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Bw. Masoud Alawi pamoja na mmoja wa maafisa wa kampuni hiyo wakionyesha ngao zao za ushindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akitembelea maonyesho hayo leo mara baada ya kuyafungua rasmi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiondoka mara baada ya kutembelea maonyesho hayo. hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem kulia akizungumza na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw Ramadhan Kailima wakati alipotembelea katika banda la Kampuni ya Property International.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem kushoto akizungumza na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw Ramadhan Kailima wakati alipotembelea katika banda la Kampuni ya Property International katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Bw. Masoud Alawi.
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mh. Hashim Mgandilwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem kulia , Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima wa pili kutoka kulia na, Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International Bw. Masoud Alawi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem kulia na Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International Bw. Masoud Alawi pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ushindi huo.
\
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na ngao za ushindi.
Hivyo makala KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL YACHUKUA USHINDI WA JUMLA KWA MAKAMPUNI YA UJENZI KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA
yaani makala yote KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL YACHUKUA USHINDI WA JUMLA KWA MAKAMPUNI YA UJENZI KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL YACHUKUA USHINDI WA JUMLA KWA MAKAMPUNI YA UJENZI KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kampuni-ya-property-international.html
0 Response to "KAMPUNI YA PROPERTY INTERNATIONAL YACHUKUA USHINDI WA JUMLA KWA MAKAMPUNI YA UJENZI KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA"
Post a Comment