Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana

Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana
kiungo : Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana

soma pia


Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana

MUUZA nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ na mzazi mwenza wa msanii wa Bongo Fleva, David Genz ‘Young D’, Mamisa Amir, wanadaiwa kuwa kwenye bifu zito kwa madai ya kuibiana mwanaume.


Chanzo makini kilidai kuwa, Mamisa ambaye awali alipojifungua alihifadhiwa na Jike Shupa, kwa sasa ni kama paka na panya, chanzo kikielezwa ni Mamisa kumpindua mwenzake kwa mwanaume wake japokuwa wenyewe wamekuwa wakifanya siri.


Baada ya kupata ubuyu huo, Risasi Jumamosi liliwatafuta wahusika ambapo lilianza na Mamisa ambaye alisema kuwa, hana tatizo na bishosti huyo na hata akikutana naye wanasalimiana.
Kwa upande wa Jike Shupa aligoma kuweka wazi huku akijiumauma na kusema: “Hata kama tuna bifu, ninyi kinawauma nini? Niacheni bwana.”


Hivyo makala Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana

yaani makala yote Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/jike-shupa-mamisa-wa-young-dee-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jike Shupa, Mamisa wa Young Dee Katika Bifu zito la Kugombania Bwana"

Post a Comment