IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA

IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA
kiungo : IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA

soma pia


IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA


1
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kulia), akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella, wakati alipomtembelea ofisini kwake jana, IGP Sirro, yupo mkoani humo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi, yenye lengo la kujitambulisha kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.
2
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Mwanza,  John Mongella, wakati alipofika ofisini kwake jana, IGP Sirro, yupo mkoani humo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi, yenye lengo la kujitambulisha kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo, kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ahmed Msangi.
3 (2)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Mwanza, kwa lengo la kujitambulisha, IGP Sirro, yupo mkoani humo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.
5
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Mwanza, alipofika kwa lengo la kujitambulisha, IGP Sirro, yupo mkoani humo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.
6
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya askari wa Jeshi hilo mara baada ya kumaliza kikao kazi na maofisa na askari ambapo aliwasisitiza kuzingatia weledi wakati wa kutekeleza majukumu yao.

Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi.
……………………….
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, amewataka askari wa Jeshi hilo kuhakikisha wanatenda haki wakati wakitekeleza majukumu yao ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa za uhalifu na wahalifu.
Aidha, IGP Sirro, ametoa wito kwa wananchi na raia wema kuendelea kutoka ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kuweza kudhibiti matishio mbalimbali ya uhalifu yanayoweza kujitokeza katika maeneo yao.
IGP Sirro, ameyasema hayo akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Mwanza, ambapo pia alipata nafasi ya kuzungumza na askari wa Jeshi hilo ikiwa pamoja na kujitambulisha kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo.


Hivyo makala IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA

yaani makala yote IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/igp-sirro-awahakikishia-usalama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI WA MWANZA"

Post a Comment