NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA

NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA
kiungo : NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA

soma pia


NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso amezindua mradi wa uchakataji majitaka wa Toangoma Wilaya ya Temeke.

Mradi huo uliotekelezwa kwa ushirikiano wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) na Shirika la PDF chini ya Shirika la Water Aid Tanzania.

Akiwa katika mradi huo, Aweso amezindua mradi huo ukiwa na vipengele vikuu vinne ambavyo ni kuhakikisha upatikanaji wa huduma za uhifadhi na udhibiti wa taka ngumu kwa wakazi wa kata 23 za Manispaa ya Temeke.

Mradi wa Tuangoma umetumia kiasi cha Milioni 359 ukijumuisha ujenzi wa miundo mbinu mbalimbali ambayo ni pamoja na  sehemu ya Kuchujia taka ngumu (screening chamber), tenki la kuhifadhia majitaka kwa muda mrefu (balancing Tank), mtungi wa kuchakata majitaka na kutengeneza gesi (biogas Dome) sehemu ya kuchujia majitaka (perforated grave  filter) na sehemu ya kukaushia tope la majitaka.

Mtambo huo una uwezo wa kuhifadhi majitaka kiasi cha lita elfu hamsini (50m3) na uwezo wa kuhudumia wananchi 93,000 na uwezo wa kuzalisha gesi kiasi cha lita 4000 kwa siku ambayo inaweza kuhudumia takribani kaya 250 kwa mwezi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani hususani kupikia.
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso (katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa mradi wa uchakataji majitaka Toangoma uliojengwa kwa ushirikiano wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA)  na Shirika Shirika la PDF chini ya Shirika la Water Aid TanzaniaKushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mbagala Ally Mangungu, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majitsafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja na Kulia ni Mkuu wa  Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva.

Mhandisi Kazingoma kutoka Shirika la Water PDF (Kulia) akimuonyesha Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso moja ya sehemu inayotumika kuhifadhia majitaka kwenye mradi wa Uchakataji majitaka wa Toangoma.

 Mhandisi Kazimoto kutoka Shirika la Water Aid akimuelezea Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso mradi mzima wa kuchakata majitaka uliojengwa  Mamlaka ya Majisafi na Majitaka  (DAWASA) na Shirika la PDF chini ya Shirika la Maji la  Water Aid.


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/naibu-waziri-wa-maji-aweso-azindua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO AZINDUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJITAKA TUANGOMA"

Post a Comment