HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA

HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA
kiungo : HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA

soma pia


HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA



Timu ya taifa ya Ujerumani imetwaa taji la kombe la mabara baada ya kuishinda Chile kwa bao 1-0 katika mchezo uliochezwa kwenye dimba la Saint Petersburg nchini Urusi.
Mshambuliaji Lars Stindl ndie aliyeifungia Ujerumani goli pekee liliwapa ubingwa wa mabara kwa mara ya kwanza baada ya kutumia vyema makosa ya kiungo wa Chile, Marcelo Diaz.
Katika mchezo wa kumsaka mshindi wa tatu Ureno walifanikiwa kutwaa medali ya shaba baada ya kuichapa Mexico kwa mabao 2-1.
Beki wa Ureno Luis Neto aliwapa Mexico goli la kuongoza baada ya kujifunga katika dakika ya 55, kabla ya Pepe kuzawazisha goli hilo katika dakika za lala salama.
Bao la mkwaju wa penati lilifungwa na Adrien Silva katika dakika ya 104 likawapa Ureno ushindi muhimu licha ya kumkosa nyota wake Cristiano Ronaldo.


Hivyo makala HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA

yaani makala yote HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/historia-ujerumani-yatwaa-ubingwa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HISTORIA UJERUMANI YATWAA UBINGWA WA MABARA"

Post a Comment