Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora

Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora
kiungo : Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora

soma pia


Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mhe. Alphayo Kidata aliyemuapisha kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora wakila kiapo cha ahadi na uadilifu kwa viongozi wa umma kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza baada ya kuwaapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018. Kulia ni Waziri Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jaffo na kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Suzan Kolimba akifuatiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya pamoja na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kuwaapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018.Wengine mbele Kulia ni Waziri Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jaffo na kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Suzan Kolimba akifuatiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Alphayo Kidata aliyemuapisha kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada na Balozi wa Tanzania nchini Canada aliyemaliza muda wake Mhe. Jack Zoka kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018.


Picha na IKULU


Hivyo makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora

yaani makala yote Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/matukio-rais-dk-magufuli-awaapisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Rais Dk. Magufuli Awaapisha Balozi wa Tanzania nchini Canada na Katibu tawala wa mkoa wa Tabora"

Post a Comment