title : Biashara /Zanzibar : Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji Wafanyika ,Unguja
kiungo : Biashara /Zanzibar : Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji Wafanyika ,Unguja
Biashara /Zanzibar : Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji Wafanyika ,Unguja
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Wafanyabishara wa Zanzibar katika Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
Katibu wa Baraza la Wazalishaji Zanzibar Madam Cheherezade Chukh akitoa hotuba ya makaribisho katika uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazalishaji Zanzibar Ahmed Yussuf Baalawy akizungumza machache katika uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenyeviwanda,Kilimo na Utalii (ZNCCIA)Taufiq Tourky akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja .
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
Mgeni Rasmi Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace Malindi mjini Unguja.
PICHA NA-YUSSUF SIMAI ALI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Biashara /Zanzibar : Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji Wafanyika ,Unguja
yaani makala yote Biashara /Zanzibar : Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji Wafanyika ,Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Biashara /Zanzibar : Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji Wafanyika ,Unguja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/biashara-zanzibar-uzinduzi-wa-baraza-la.html
0 Response to "Biashara /Zanzibar : Uzinduzi wa Baraza la Wazalishaji Wafanyika ,Unguja"
Post a Comment