WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR

WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR
kiungo : WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR

soma pia


WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR


mwambawahabari 
Na John Luhende
Mkurugenzi wa shule za Almuntazir Mahamod Ladak , akizungumza na wanafunzi walio shiriki katika wiki ya sayansi shuleni hapo  mzoezi ya kisayansi yame andaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Inspire kwa kushirikiana na taasisi ya NEF , na kudhaminiwa na shule ya Almuntazir, jumla ya shule zipatazo kumi zimeshiriki  zoezi hilo. 

Mkurugenzi wa  shule za Almuntazir Mahamod Ladak akiweka mambo sawa kabla ya wanafunzi kuanza mazoezi ya kisayansi katika shule ya Almuntazil upanga jijini Dar es salaam


 Wanafunzi kutoka shule mbalimbali jijini Dar es salaam wakiwa tayari kuanza zoezi la kisayansi  katika kuadhimisha siku ya Sayansi Africa

wanafunzi wakifanya jaribio la kisayansi  kama walivyo elekezwa na walimu wao 


Wanafunzi  wakiendelea na mazoezi  ya kisayansi
Wanaunzi wa shule ya Almuntazir wakiwa katika picha baada ya kumaliza zoezi la kisayansi  katika maadhimsho ya siku ya Sayansi Afrika 


Wanaunzi wa shule ya Almuntazir wakiwa katika picha baada ya kumaliza zoezi la kisayansi  katika maadhimsho ya siku ya Sayansi Afrika 


wanafunzi wakifanya jaribio la kisayansi  , wana chanya kemikal za kisayansi , ,katika maadhimisho ya siku ya  Sayansi yaliyo fanyika katika shule ya Almuntazir  Upanga jijini Dar es salaam


Hivyo makala WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR

yaani makala yote WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wiki-ya-sayansi-afrika-ilivyo-fanyika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WIKI YA SAYANSI AFRIKA ,ILIVYO FANYIKA KATIKA SHULE YA ALMUNTAZIR"

Post a Comment