title : ZANZIBAR HEROES KUCHEZA NA TAIFA YA JANG’OMBE KESHO
kiungo : ZANZIBAR HEROES KUCHEZA NA TAIFA YA JANG’OMBE KESHO
ZANZIBAR HEROES KUCHEZA NA TAIFA YA JANG’OMBE KESHO
Timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) kesho Jumatano inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na klabu ya Taifa ya Jang’ombe pambano litakalopigwa majira ya saa 2:00 za usiku katika uwanja wa Amaan.
Zanzibar Heroes inajiandaa na Mashindano ya CECAFA Chalenj CUP yanayotarajiwa kuanza rasmi Disemba 3-17, 2017 nchini Kenya ambapo wamepangwa kundi A pamoja na ndugu zao Tanzania Bara, Libya, Rwanda na wenyeji Kenya.
Hivyo makala ZANZIBAR HEROES KUCHEZA NA TAIFA YA JANG’OMBE KESHO
yaani makala yote ZANZIBAR HEROES KUCHEZA NA TAIFA YA JANG’OMBE KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZANZIBAR HEROES KUCHEZA NA TAIFA YA JANG’OMBE KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/zanzibar-heroes-kucheza-na-taifa-ya.html
0 Response to "ZANZIBAR HEROES KUCHEZA NA TAIFA YA JANG’OMBE KESHO"
Post a Comment