title : WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE LEO MJINI DODOMA
kiungo : WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE LEO MJINI DODOMA
WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE LEO MJINI DODOMA
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za TAMISEMI mjini Dodoma.Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akimkabidhi Kamusi kuu ya Kiswahili Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene leo Mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi - MAELEZO,DODOMA.
Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE LEO MJINI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE LEO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE LEO MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-mwakyembe-amkabidhi-kamusi-kuu_23.html
0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE LEO MJINI DODOMA"
Post a Comment