Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU

Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU
kiungo : Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU

soma pia


Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU

Na Freddy Macha
Mshindi wa picha bora duniani ya wenye hali ya Mtindio wa Ubongo (Down Syndrome) , Samwel Mwanyika alikuwa London mwezi Juni 2017 kupokea tuzo ya "Stephen Thomas Award". 
Baada ya sherehe kijana alikaribishwa na kutunukwa pia na Balozi wetu Dk Asha Rose Migiro. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani , akiwa mitaani, alipiga piano, St Pancras, Kings Cross,... na hapo tukazungumza naye na Mama yake. Hebu sikiliza uone kazi waliyo nayo wazazi kupambana kuendeleza maisha ya watu wenye hali hii, Afrika.


Hivyo makala Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU

yaani makala yote Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/kwa-simu-toka-london-waafrika-tuache.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kwa Simu Toka London: WAAFRIKA TUACHE KUWANYANYAPAA WENYE ULEMAVU"

Post a Comment