title : ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
kiungo : ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Tanzania, wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018
Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Rwanda wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018
Kikundi cha Ngoma cha Maringo kikitoa burudani, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia wananchi, katika ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipuliza filimbi kuashiria ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018
Mashabiki wa timu ya Jeshi la Polisi la Tanzania, wakishangilia goli la kwanza la Tanzania dhidi ya timu ya Jeshi la Polisi la Uganda, mara baada ya ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018,(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
yaani makala yote ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ufunguzi-rasmi-wa-mashindano-ya-majeshi.html
0 Response to "ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam"
Post a Comment