Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini.

Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini.
kiungo : Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini.

soma pia


Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini.

Mwambawahabari

unnamed
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya walimu na wanafunzi wa shule za sekondari za mkoa wa Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa zoezi la  usambazaji wa vifaa vya maabara na vifaa vya wanafunzi wenye mahitaji maalum  mapema hii leo katika viwanja vya hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.
1
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu) akipata maelekezo toka kwa moja ya mwalimu wa masomo ya sayansi wakati wa uzinduzi wa zoezi la usambazaji wa vifaa vya maabara na vifaa vya wanafunzi wenye mahitaji maalum  mapema hii leo katika viwanja vya hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.
2
 Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa zoezi la usambazaji wa vifaa vya maabara na vifaa vya wanafunzi wenye mahitaji maalum  mapema hii leo katika viwanja vya hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.

3
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (kulia) akikabidhi moja ya kifaa cha kufundishia masomo ya sayansi kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Juhudi wakati wa uzinduzi wa zoezi la usambazaji wa vifaa vya maabara na vifaa vya wanafunzi wenye mahitaji maalum  mapema hii leo katika viwanja vya hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.
4
 Baadhi ya walimu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakimsikiliza Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa zoezi la usambazaji wa vifaa vya maabara na vifaa vya wanafunzi wenye mahitaji maalum  mapema hii leo katika viwanja vya hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.
5
Baadhi ya wanafunzi  wa shule za Mkoa wa Dar es Salaam wakimsikiliza Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa zoezi la usambazaji wa vifaa vya maabara na vifaa vya wanafunzi wenye mahitaji maalum  mapema hii leo katika viwanja vya hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo


Hivyo makala Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini.

yaani makala yote Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-mkuu-azindua-zoezi-la-usambazaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mkuu Azindua Zoezi La Usambazaji Wa Vifaa Vya Maabara kwa Shule Za Sekondari Nchini."

Post a Comment