title : WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA
kiungo : WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA
WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akizungumza na wadau wa takwimu wakati wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na wadau wa takwimu wakati wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Huduma za Umma na Utendaji kutoka Benki ya Dunia Tanzania akizungumza na wadau wa takwimu wakati wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akielezea umuhimu wa takwimu kwa waandishi wa habari mara baada ya kufungua semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.
Hivyo makala WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA
yaani makala yote WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-kairuki-afungua-semina-ya.html
0 Response to "WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA"
Post a Comment