Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete

Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete
kiungo : Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete

soma pia


Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete


Bunge limezizima kwa makofi baada ya hotuba ya mpango wa bajeti ya kambi rasmi ya upinzani.Wabunge wa upinzani  ndiyo wengi waliobaki ukumbini baada ya wengi kwenda kufuatilia ripoti ya kamati ya pili ya Rais John Magufuli kuhusu usafirishaji wa makinikia.

Wabunge wamesimama na kuanza kuimba huku wakipiga makofi, marais wa awamu zilizopita; Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete wametajwa.

"Tuna imani na Mkaaapa...oya oya oya
Mkapa kweeeli...kweli
Kweli, kweli, kweli Mkapa.

Tuna imani na Kikweeetee...oya oya oya
Kikwete kweeli
Kweli, kweli, kweli Kikwete."

Wimbo huo umeimbwa baada ya Waziri Kivuli wa Fedha na Mipango, David Silinde kulitaka Serikali kuileta bungeni mikataba yote ya madini ili ijadiliwe.


Hivyo makala Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete

yaani makala yote Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wapinzani-walivyosimama-bungeni-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wapinzani Walivyosimama Bungeni na Kuanza Kuimba Wana Imani na Mkapa, Kikwete"

Post a Comment