Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo.

Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo.
kiungo : Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo.

soma pia


Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo.

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Zaidi ya wanamichezo 135 kutoka Unguja na Pemba wanatarajia kuondoka Visiwani Zanzibar kesho Jumamosi June 3, 2017 kuelekelea Butimba Mkoani Mwanza, kushiriki mashindano ya umoja wa Michezo na Sanaa skuli za sekondari Tanzania (UMISSETA).

Katika Mashindano hayo ambayo yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Jumanne June 6, 2017 huko Butimba Chuo cha Ualimu Mkoani Mwanza, Zanzibar itakuwa na kanda mbili tofauti Unguja timu yao na Pemba timu yao, ambapo kanda ya Unguja itakuwa na timu za Soka, Wavu, Mikono, Riadha, Mpira wa Meza na Kikapu,wakati kanda ya Pemba itakuwa na timu za Riadha, Wavu, Kikapu na Soka.

Wanamichezo hao wataondoka  Zanzibar na boti ya jioni watalala Dar es Salaam na wanatarajia kuondoka Dar es Salaam kesho kutwa Jumapili Juni 4 kwa mabasi maalum ya kukodi kuelekea Mwanza, ambapo watawasili Jumatatu Juni 5 siku ambayo timu zote zinatakiwa ziwe zimewasili.
Attachments area


Hivyo makala Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo.

yaani makala yote Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wanamichezo-wa-zanzibar-wa-umisseta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wanamichezo wa Zanzibar wa UMISSETA Kuondoka Kesho Kuelekea Mkoani Mwanza Kushiriki Mashandano Hayo."

Post a Comment