title : WAGOMBEA 62 WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU TFF, KESHO MWISHO SAA 10
kiungo : WAGOMBEA 62 WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU TFF, KESHO MWISHO SAA 10
WAGOMBEA 62 WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU TFF, KESHO MWISHO SAA 10
MCHAKATO WA UCHUKUAJI FOMU TFF
Wakati kesho Jumanne Juni 20, 2017 itakuwa mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wagombea 62 tayari wamejitokeza.
Wanafamilia hao ni wale waliojitokeza kuanzia Ijumaa iliyopita Juni 16, mwaka huu wakiongozwa na Jamal Malinzi aliyekuwa wa kwanza kuchukua fimu kati ya wagombea tisa walioomba nafasi hiyo.
Fomu hizo zinachukuliwa na kurejeshwa katika ofisi za TTF, Karume jijini Dar es Salaam na Uchaguzi wa TFF utakafanyika Agosti 12, mwaka huu mkoani Dodoma.
Mbali ya Malinzi, wengine waliochukua fomu hizo ni Imani Madega, Wallace Karia, Fredrick Masolwa, Athumani Nyamlani, Fredrick Mwakalebela na Ally Mayay wakati waliojitokeza kuwania Makamu wa Rais wako Mulamu Nghambi, Michael Wambura, Geofrey Nyange, Mtemi Ramadhani na Robert Selasela.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WAGOMBEA 62 WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU TFF, KESHO MWISHO SAA 10
yaani makala yote WAGOMBEA 62 WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU TFF, KESHO MWISHO SAA 10 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAGOMBEA 62 WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU TFF, KESHO MWISHO SAA 10 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wagombea-62-wajitokeza-kuchukua-fomu.html
0 Response to "WAGOMBEA 62 WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU TFF, KESHO MWISHO SAA 10"
Post a Comment