VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIAkiungo :
VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA
VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson akitoa mkono wa pole kwa mama Mjane wa Marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo ,Ndehorio Ndesamburo alipotembelea nyumbani kwa marehemu kuifariji familia.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni ,Freeman Mbowe akitoa mkono wa Pole kwa mjane wa marehemu Dkt Ndesamburo ,Ndehorio Ndesamburo nyumbani kwake KDC mjini Moshi.
Waziri wa Malisili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akitoa pole kwa mama mjane wa marehemu Ndesamburo nyumbani kwake KDC mjini Moshi.
Mbunge wa jimbo la Same Magharibi ,David Mathayo David akitia saini katika kitabu cha waombolezaji nyumbani kwa marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Idd Juma akitia saini katika kitabu cha waombolezaji nyumbani kwa marehemu Ndesamburo KDC Mjini Moshi.
Mkuu wa mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Rombo Joseph Selasini walipokutana nyumbani kwa marehemu Ndesamburo.
Hivyo makala VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA
yaani makala yote VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/viongozi-wamiminika-nyumbani-kwa.html
0 Response to "VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA"
Post a Comment