CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma.

CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma.
kiungo : CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma.

soma pia


CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma.


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kushoto) akiongoza nyimbo ya hamasa mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana kuwasili  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma 
 Katibu wa NEC Uchumi na fedha Dkt.Frank George Haule hawassi   akiwasilisha mada wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 maofisa wa chama wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Mafunzo yakiendelea
washiriki  Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani  wakiwa katika mijadala kwa makundi mbalimbali kuchambua yale walio jifunza katika mafunzo elekezi  yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Oganaizesheni ndg: pelela Ame Silima,akizungumza wakati wa kufunga  mafunzo   elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ndg:Humphrey Polepole akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinga,akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi, akizungumza wakati wa  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akifunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani (kulia) ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi .
 Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akifunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma
.(Picha na Fahadi Siraji)


Hivyo makala CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma.

yaani makala yote CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ccm-yahitaji-mafunzo-elekezi-ya-siku.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CCM Yahitaji Mafunzo Elekezi ya Siku Mbili Kwa Makatibu wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Mjini Dodoma."

Post a Comment