Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana

Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana
kiungo : Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana

soma pia


Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) aimewafikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wafanyabiashara James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa tuhuma za uhujumu uchumi na makosa mengine yanayofanana na hao.

Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Valentino Mlowola alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo alisema kuwa muda mrefu wamekuwa wakiulizwa kuhusu kesi ya Escrow hivyo sasa anaamini ni wakati muafaka wa kuwafikisha watuhumiwa hao wawili mahakamani.

Mlowola alisema kuwa taasisi hiyo imefanya uchunguzi wa kutosha kwa muda wote ambao ilikuwa kimya, na hivyo wamefikishwa mahakamani kisutu na baada ya hapo mahakama itafanya taratibu za kuhamishia kesi hiyo katika Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.

Kabla ya vigogo hawa wawili kufikishwa mahakamani leo, baadhi ya watumishi wa TANESCO tayari walishtakiwa kufuatia tuhuma za kupokea fedha kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engeneering & Marketing ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), James Rugemalira.



Hivyo makala Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana

yaani makala yote Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/vigogo-wa-escrow-james-rugemarila-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vigogo wa Escrow (James Rugemarila na Harbinder Sethi ) wafikishwa mahakamani Jana"

Post a Comment