UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017

UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017
kiungo : UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017

soma pia


UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017


Mwambawahabari
THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF-CHAMA CHA WANANCHI)

Leo imeitwa kwa kutajwa kesi/shauri la msingi Namba. 23/2016. Mbele ya Jaji Kihiyo na kupangwa tena kutajwa tarehe 23 June,  2017 ikisubiri Mahakama ya Rufaa kufanya mapitio ya maamuzi ya Jaji Kihiyo. CUF Taasisi iliwakilishwa na Wakili Msomi Mhe. Daimu Khalfan na Wakili Msomi Mhe. Hashimu Mziray. Wakili wa Msajili na Mwanasheria Mkuu (AG) hawakufika. Lipumba na Genge lake waliwakilishwa na Peter Shaba(aliyemshikia Mashaka Ngole ambaye hakufika)

Lipumba na Genge lake WAFUNGUA KESI MPYA: Miscellaneous Civil Application|Shauri 37/2017.

Genge la Lipumba limeishtaki Bodi ya Wadhamini ya CUF Likiiomba Mahakama kutoa amri (Injuction Order) ya kuwazuia Viongozi wa CUF Taasisi kufanyakazi za Chama,  Pili wanaipinga Bodi ya Wadhamini ya CUF na Tatu,  wanapinga wana-CUF wasiende kufanya usafi Ofisi Kuu Buguruni.

Mawakili wasomi wa CUF walikiri kupokea documents hizo na watazijibu (Counter Affidavity) na kuomba shauri hilo liwekwe pembeni lisisikilizwe (to be stay) likisubiri maamuzi ya shauri mama Miscellaneous Civil Cause No. 23/2016. Ombi hilo limekubaliwa na hivyo litakuwa likitajwa pamoja na Shauri la msingi mpaka hapo itakavyoamuriwa vinginevyo.

NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA MHE. Joran Bashange anawaomba wanachama wa CUF,  Wapenzi na wapenda Mabadiliko nchini kuendelea kuwa na subira CUF NI TAASISI IMARA,  YENYE VIONGOZI MAKINI.

Haki Sawa Kwa Wote.

Maharagande,
NMHUMU

Maswali Fikirishi na chokonozi:
1. kilichowwafanya washangilie kuhusu maamuzi madogo ya shauri la Kisutu wiki 2 zilizopita ni nini?
2. Woga wa kukimbilia mahakamani kutaka kuzuia usafi wa nini? na wao wana mabaunsa na silaha za moto?
3. Bodi ipi inayopaswa kgupingwa ? Hii ya magumashi FEKI aliyoiteua Lipumba au Bodi ya Wadhamini ya CUF Taasisi?
4. Kuwazuia viongozi wa CUF wasifanye kazi? Si mshaelekezwa na barua ya Mutungi kumteua Lipumba? Ile mikwara ya kuwakamata Salim Bimani Julius S. Mtatiro imeshia wapi? Mmekimbilia mahakamani?


Hivyo makala UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017

yaani makala yote UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/updates-kutoka-mahakama-kuu-tarehe-2.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UPDATES KUTOKA MAHAKAMA KUU; TAREHE 2 JUNE, 2017"

Post a Comment