title : UKATILI WA KINGONO BADO CHANGAMOTO KWA WASICHANA HAPA NCHINI
kiungo : UKATILI WA KINGONO BADO CHANGAMOTO KWA WASICHANA HAPA NCHINI
UKATILI WA KINGONO BADO CHANGAMOTO KWA WASICHANA HAPA NCHINI
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Hamis Kigwangalla pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Taifa Joheli Festo wakiangalia ripoti iliyozinduliwa leo na shirika Save the Children kuhusu hali ya ndoa za ututoni duniani wakati wa Kongamano la Siku ya Mtoto wa Afrika liliofanyika leo katika mji wa Dodoma.
1.Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Hamis Kigwangalla akihutubia wajumbe wa Kongamano la Siku ya Mtoto wa Afrika liliofanyika leo katika mji wa Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akihutubia wajumbe wa Kongamano la Siku ya Mtoto wa Afrika liliofanyika leo katika mji wa Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Hamis Kigwangalla akipata Maelekezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi masuala ya Watoto wa Wizara yake kuhusu kazi za Wiazara wakati wa Kongamano la Siku ya Mtoto wa Afrika liliofanyika leo katika mji wa Dodoma.
Hivyo makala UKATILI WA KINGONO BADO CHANGAMOTO KWA WASICHANA HAPA NCHINI
yaani makala yote UKATILI WA KINGONO BADO CHANGAMOTO KWA WASICHANA HAPA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UKATILI WA KINGONO BADO CHANGAMOTO KWA WASICHANA HAPA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/ukatili-wa-kingono-bado-changamoto-kwa.html
0 Response to "UKATILI WA KINGONO BADO CHANGAMOTO KWA WASICHANA HAPA NCHINI"
Post a Comment