title : NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWAPONGEZA TANROADS KUDHIBITI VITENDO VYA RUSHWA
kiungo : NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWAPONGEZA TANROADS KUDHIBITI VITENDO VYA RUSHWA
NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWAPONGEZA TANROADS KUDHIBITI VITENDO VYA RUSHWA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (Mb), amewapongeza Wakala wa barabara nchini (TANROADS), kwa mikakati wanayotumia kudhibiti vitendo vya rushwa katika vituo vya mizani hapa nchini.
Akifungua Mkutano wa tisa wa baraza la wafanyakazi la TANROADS mjini Kigoma, Naibu Waziri Kwandikwa, amesema nia ya Serikali ni kuhakikisha watendaji wake wote wanakuwa waadilifu ili rasilimali chache zitumike kwa manufaa ya wote.
“Hakikisheni kila mtakaye mkamata kwa vitedo vya rushwa hatua za kisheria anachukuliwa ikiwemo na kufukuzwa kazi ili kuonyesha kuwa jambo la rushwa tunalichukia na hatulipendi katika Serikali”, amesema Naibu Waziri Kwandikwa.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (Mb), akizungumza na wajumbe katika mkutano wa Baraza la Tisa la Wafanyakazi wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), lililofanyika mkoani Kigoma.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa baraza la tisa la wafanyakazi wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (hayupo pichani) katika ufunguzi wa baraza hilo, mkoani Kigoma.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Tisa la Wafanyakazi akitoa taarifa ya utendaji kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kulia), mkoani Kigoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWAPONGEZA TANROADS KUDHIBITI VITENDO VYA RUSHWA
yaani makala yote NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWAPONGEZA TANROADS KUDHIBITI VITENDO VYA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWAPONGEZA TANROADS KUDHIBITI VITENDO VYA RUSHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/naibu-waziri-kwandikwa-awapongeza.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWAPONGEZA TANROADS KUDHIBITI VITENDO VYA RUSHWA"
Post a Comment