TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE

TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE
kiungo : TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE

soma pia


TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE


Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe, Mtera Mwampamba (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Kamishna wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA) Makao Makuu, Rose Majuva kuhusu kazi zinazofanywa na chama hicho ikiwemo kuwapa uwezo wanawake wa kujitambua na kujiamini alipokwenda kuzindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wilayani humo.

Majuva aliwaasa wanawaje kuacha kutumia mikopo ya benki kuchezea ngoma bali waitumie kujiendeleza kibiashara na kuwa na tabia ya kulipa kwa wakati mikopo hiyo. Pia aliwaeleza mbinu mbalimbali za kufanya biashara na miiko yake. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDAKAMANDA WA MATUKIO BLOG.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe, Mtera Mwampamba (kulia), akiangalia kiroba cha mkaa uliotengenezwa kiasili kwa kutumia taka mbalimbali alipokuwa akitembelea mabanda ya wajasiriamali kabla ya kuzindua Jukwaa hilo. Kushoto ni Gifti Mbaraka wa banda hilo la Vijana Wasiriamali Wakulima Kisarawe. Katikati ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kisarawe, Mussa Gama.
 
Viongozi wa TGGA wakiwa kwenye banda lao wakati wa maonesho yaliyofanyika wakati wa uzinduzi wa Jukwaa hilo mjini Kisarawe
Mwampamba akiangalia bidhaa mbalimbali za wajasiriamali.



Hivyo makala TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE

yaani makala yote TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/tgga-yatoa-somo-jukwaa-la-uwezeshaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TGGA YATOA SOMO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KISARAWE"

Post a Comment