title : AFANDE MUSLIM AFANYA UKAGUZI VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU DAR.
kiungo : AFANDE MUSLIM AFANYA UKAGUZI VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU DAR.
AFANDE MUSLIM AFANYA UKAGUZI VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU DAR.
Na.John Luhende
Mwambawahabari
Jumla ya watu 59 mwaka 2017,na 55mwaka huu, wamepoteza maisha kwa kugongwa na gari jijini Dar es Salaam, huku ajali zilizohusisha pikipiki zikiwa ni363 ambazo zimegharimu maisha ya madereva 32"na 305wakijeruhiwa katika kipindi cha January na September mwakahuu.
Hayo yamebainishwa na Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Fortunatus Muslim leo alipokuwa katika ukaguzi Wa Kivuko cha waenda kwa miguu Mwenge ITV ambapo alipata fursa ya kuzungumza na wananchi wanatumia Kivuko hicho na kuwataka kuwa makini wakati wa Kuvukabarabara na kuwataka madereva kuheshimu vivuko hivyo kwani viko kisheria.
"Nawaomba tushirikiane kupunguza ajali hizi ni nyingi mno ninyi nimabalozi wa usalama barabarani na kumaliza tatizo hili, Nina amini tukishirikiana tutafanikiwa na sisi Jeshi la polisi tutaendela kuwa ya kuwa nyakua madereva wazembe wasiotii sheria" alisema
Hatahivyo Muslim, amesema baadhi ya madereva wameanza kuelewa wana simama katika vivuko vya waenda kwa miguu, na kwamba wataendelea kuwasilisha na Mamlaka ili kuweka alama na vivuko maeneo ambapo hayaja wekwa na wataendelea kutoa elimu ili iweze kuwa fikia madereva na waenda kwa miguu ili kumaliza tatizo hili.
Pamoja na hayo Muslim, amewaonya madereva wanaovuka taanyekundu nyakati za usiku na kusema kuwa Jeshi hilo Lina fanya Doria kila siku nyakati zausiku na atakayevunjiwa kamatwa atachuliwa hatua za kisheria.
"Nashukuru niliifanya Doria juzi katika eneo la Manzese majira ya usiku niliona madereva hadi wale wa bodaboda wanasimama kwenye taa na kwenye vivuko ni jambo la kupongezwa wameanza kuelewa" alisema.
Kwa upande waowavukakwa miguu wanaopita eneo hilo wamemweleza namna usumbufu wanaoupata katika vivuko kufuatia madereva wazembe wasiotii sheria na kumtaka kuendelea kuchukua hatua.
Sisi waenda kwa miguu madereva huwa hawatuoninkuwa kuwa na sisi tunaamini ya Kuvuka wanajitahidi waondokane wenye haki pekee yao Afande tuna omba hawa wa huku liwe hatua Kali wanagonga watu kila siku"
Alisema mwananchi.
Hivyo makala AFANDE MUSLIM AFANYA UKAGUZI VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU DAR.
yaani makala yote AFANDE MUSLIM AFANYA UKAGUZI VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AFANDE MUSLIM AFANYA UKAGUZI VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU DAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/afande-muslim-afanya-ukaguzi-vivuko-vya.html
0 Response to "AFANDE MUSLIM AFANYA UKAGUZI VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU DAR."
Post a Comment