title : Sherehe za kutunuku nishani Ikulu leo
kiungo : Sherehe za kutunuku nishani Ikulu leo
Sherehe za kutunuku nishani Ikulu leo
Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Viongozi wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,shuhuli iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
iongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Baadhi ya Viongozi wa Kitaifa pamoja na Wananchi mbali mbali wakishuhudia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitunuku Nishani mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wakiwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni NIshani ya Mapinduzi,Nishani kwa Viongozi na wananchi wenyesifa maalum,Nishani ya Utumishi Uliotukuka,Watumishi wa Serikali,Nishani Watumishi wa Idara Maalum za SMZ na Nishani ya Ushujaa,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Pandu Ameir Kificho katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati) akitunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Bw.Aboud Talib Aboud akitukiwa nishani katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akitunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Dk.Msimu Abdulrahman Hassan akitunukiwa Nishani katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akitunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Bi.Mastura Ali Salim akitunukiwa Nishani katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akitunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Jaji Mkusa Issac Abraham Sepetu akipokea Nishani kwa kwa niaba Mrehemu Baba yake Issac Abraham Sepetu katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka Bw.Mohamed Fakih Mohamed akiwa ni Mtumishi Mstaafu wa Seruikali ya Mapinduzi,pia Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikalini, katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka Bw.Mohamed Ahmed Mohamed akiwa ni Mtumishi Mstaafu wa Seruikali ya Mapinduzi katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka Kanali Ali Mtumweni Hamadi akiwa ni Mtumishi wa Idara Maalum za SMZ katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka Senior Assistance Commissioner wa Mafunzo Kadi Sulaiman Issa akiwa ni Mtumishi Msataafu wa Idara Maalum za SMZ katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka Luteni Kanali Maryam Kurwa Nassor akiwa ni Mtumishi Msataafu wa Idara Maalum za SMZ katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Ushujaa kwa Watumishi wa Idara Maalum za SMZ Captain Ahmed Khamis Ahmed katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Ushujaa kwa Watumishi wa Idara Maalum za SMZ Inspector Ameir Ramadhan Suleiman katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya Ushujaa Bi.Maryam Omar Ibrahim katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wananchi mara baada ya kutunuku nishani katika sherehe Maalum ya Kutunuku Nishani ya Mapinduzi,Nishani ya Utumishi Uliotukukana Nishani ya Ushujaa, hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Hivyo makala Sherehe za kutunuku nishani Ikulu leo
yaani makala yote Sherehe za kutunuku nishani Ikulu leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sherehe za kutunuku nishani Ikulu leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/sherehe-za-kutunuku-nishani-ikulu-leo.html
0 Response to "Sherehe za kutunuku nishani Ikulu leo"
Post a Comment